Thursday, May 28, 2009

WAUWAJI WA BARCELONA HAOOO WAKISHANGILIA USHINDI,



Haya mpira umeisha Barcelona 2 - 0 Manchester ni mpira tu jamani washabiki wa man 'u wengine baada ya mpira kuisha tu, wameenda kujiduga sindano za usingizi wengine pombe wengi panadol hii yate ni kwajili ya kupunguza machungu ya Man 'u kukosa ushindi ...

Wednesday, May 27, 2009


Mike decided to marry his baby moms. We assume its because she’s helping him grieve the loss of his daughter or maybe she’s the only person who will deal with his drama Retired boxing legend MIKE TYSON has married his girlfriend LAKIHA SPICER in a secret Las Vegas ceremony, according to online reports. Tyson and Spicer took out a marriage license in Las Vegas on Saturday (06Jun09) and the couple married later that evening at the La Bella Wedding Chapel in the Las Vegas Hilton, according to RadarOnline.com. Spicer has been helping Tyson grieve since the tragic accidental death of his four-year-old daughter Exodus just two weeks ago. Little Exodus’ seven-year-old brother raised the alarm when he found his sister unconscious and hanging from a power cable attached to gym equipment on 25 May (09), at the tot’s home in Phoenix, Arizona. She was rushed to hospital and put on life support, but died the next day. Tyson shares the two children with his second wife Monica Turner. He has five other children from other relationships.

MGUU BANDIA .


Mtaalamu wa tibamaungo wa Kituo cha Tiba cha Kijeshi cha Walter Reedy jijini Washington, DC, Marekani, Annette Bergenon, akimwonyesha Rais Jakaya Kikwete jinsi mguu bandia unavyofanya kazi, wakati Rais alipotembelea kituo hicho hivi karibuni.Wanaoshuhudia kushoto, ni Dk. Mohamed Janabi wa Chuo Kikuu cha Afya na Tiba Muhimbili (MUCHS) na Waziri wa Kazi, Vijana,Wanawake na Watoto wa Zanzibar, Asha Juma, ambao walikuwa katika msafara wa Rais Marekani.

Tuesday, May 26, 2009

NANI ATA NYAKUA TAJI LA MISS KIGAMBONI,





Miss kigamboni ya ng'alishwa na bongo5 wadau wapenzi na mashabiki wa ulibwende hawa ni kati ya warembo watakao shiriki katika kusaka Miss kigamboni na hapa mnavyo waona walikuwa katika mazoezi katika ukumbi wa sanaa pub mwaka huu washiriki wa umiss wamejitokeza kwa wingi na wengine wameruhusiwa na wazazi wao kuweza kuifanya umiss wa mwaka huu kuwa na warembo waukweli ,

HAPATOSHI........




Mwaka huu video za bongo zinazo bamba kimataifa kati YA Cpwaa na Black Rhino ndio wasanii wa bongo ambao video zao zina bamba CPWAA PROBREMS video inabamba MTV, BLACK RHINO yee anabamba kwenye Televisheni za Channel O sasa kati ya hawa wawili nani ataibuka na tuzo za video bora kati ya MTV na CHANNEL O,

Monday, May 25, 2009

MISS TANGA UYOO,


Ijumaa usiku Rachel Mlaki alifanikiwa kujinyakulia taji la Miss Tanga City Center 2009, mashindano hayo yalifanyika kwenye ukumbi wa Swimming Club maeneo ya Raskazoni jijini Tanga MC alikuwa Antonio Nugas kutoka Clods FM na burudani tosha ilimwagwa na Hemed kutoka Tusker Project Fame pamoja na mtu mzima Cassim ndani ya bongo5.com

Sunday, May 24, 2009


USAFIRI WA DALADALA BONGO KAMA VITA,

Hili swali lausafiri kuwaka vita hapabongo limetolewa na mdau wa mbagala, anasema kwamba kilasiku kukicha lazima agombanie usafiri. na atamara nyingine unakuta anapigana na abiria mwenzake kwajili ya kugombania kiti ! pia viongozi wanao usika na swala la usafiri awajaweza kionyesha msimamo kama viongozi wa kenya, juu ya swala la usafi bora kwa kila raia wezetu kenya raia awaruhusiwi kusimama kwenye daladala na raia ukikutwa umesimama au aujafunga mkanda kwanza unapigwa faini ya hapohapo na asikali wa usalama . kwahiyo unakuta raia wenyewe wanaogapa kusimama chakushanga za hapa dar asikari wanaona abiria wamejaa kwenye gari wao wanangalia tu wanaona sawa, sheria yenye msimamo iwekwe akuna kusimama kwenye daladala na lazima abiria ufunge mkanda,......

Friday, May 22, 2009

MANDALIZI YA KITOWEO CHA NYOKA<











Wadau wakiendelea kuandaa mboga katika machinjio ya nyoka huko china lakini sio nyoka pekeyake kwambali apo naona kuna jamaa amemkanyagia kenge! akichuna inasemekana biashara ya ngozi ya nyoka ninzuri na inafaida ya kutosha duniani haya wa Tanzania kazi kwenu ajira ya burebure misitu tunayo nyoka tunao wengiii sizani kama tutawamaliza ,

Saturday, May 16, 2009

PRESIDENT KKWETE MEETS WITH PRESIDENT OBAMA,




President Jakaya Kikwete akiwa na President Obama, Tanzania yakutakia kiraheri President kikwete. katika mazumzo yako na President Obama ,

P.N .C MBONA KIMYA



Mdau wa Arusha anaomba habari zaidi juu ya msanii p n c kuwakimya mdamrefu kwenye game hili la bongo flava mshabiki Ally anashangaa zaidi nini kinasababisha wasanii hawa kupotea baada ya kupata chat tuu,


P - FUNK ASEMA SIO KWELI,


Producer maarufu na mmiliki wa studio za Bongo Records P-Funk aka Majani ameibuka na kukanusha habari zilizozagaa mtaani siku za hivi karibuni kuwa ameacha kusimamia wasanii wake wa siku nyingi Ferooz wa Daz Nunda na Juma Nature

Friday, May 15, 2009

NIZAR KHALFAN KUICHEZEA TOTTENHAM,

Nizar khalfan kunauwezekano wa mchezaji huyu kucheza soka katika club ya soka ya Tottenham. Nizar ni mmoja wa wachezaji mahirisana katika timu ya taifa stars na hiiyote nijuhudi za Rais wetu Jakaya Mrisho kikwete kwa kuwezesha soka letu kusonga kimataifa,



HAYA WADU MAFUA YATAISHA KWA STAILI HII YA MTOTO NA MYAMA HUYU?

CAIRO — Egypt began slaughtering the roughly 300,000 pigs in the country Wednesday as a precaution against swine flu even though no cases have been reported here, infuriating farmers who blocked streets and stoned vehicles of Health Ministry workers who came to carry out the government’s order. The measure was a stark expression of the panic the deadly outbreak is spreading around the world, especially in poor countries with weak public health systems. Egypt responded similarly a few years ago to an outbreak of bird flu, which is endemic to the country and has killed two dozen people.

VITA MBAYA JAMANI ?


Amakweli vita mbaya sana jioneni wanadamu wanavyo teseka kama wanyama, hii yote ni kwajili ya viongozi wanao gombania uongozi waongangania madaraka. wanasababisha vita kama sisi tunaamani tujitahidi tuwasaidie wasio na amani nihayo tu toka nipehabari,

Thursday, May 14, 2009


CHOMBEZO LA ADAM LUSEKELO

Tanzania watawala kibao - viongozi kau

Hivi majuzi Waziri Mkuu, Braza Mizengo Pinda alisema kuwa nchi inahitaji viongozi wasukuma maendeleo ambao wanakerwa na matatizo ya wananchi, badala ya watawala.

Braza Pinda alitoa kauli hiyo wakati akizungumza na watawala wanaojiita viongozi na wawakilishi wa sekta mbalimbali za jamii wakiwamo wa dini katika halmashauri za Kasulu na Kibondo mkoani Kigoma.

Alisema kuwa anakerwa na watendaji ambao wanakaa ofisini bila ya kuwafuata wananchi na kuwastua juu ya fursa zilizopo, ambazo zinaweza kuwainua kiuchumi.

Sisi wananchi tunajua fika kuwa sasa hivi kuna makatuni lukuki ambao wanajifanya ni viongozi, utafikiria uongozi ni kazi rahisi! Wengi wanakuwa kama watoto vile, kupoteza muda mwingi kutafuta midoli ya kuchezea, kama magari ya kifahari na kujikita katika mbwembwe mpaka wanatia huruma.

Nasema hivyo, kwa kuwa nina mifano mingi, hasa nje ya jiji la Dar es Salaam. Ukienda huko mikoani na wilayani, utaona watu wanasimama eti pale mkuu wa wilaya au mkoa anapoingia baa. Mimi naona uchizi huo; usiniambie ni heshima kwa mkuu. Ni uoga tu usiokuwa na msingi!

Lakini huwezi kumlaumu mtawala huyo sana. Wa kulaumiwa pia ni wananchi wanaofanya hivyo. Kumtukuza binadamu mwenzio kana kwamba yu Mungu-mtu kuna hatari sana. Baada ya muda, yawezekana akaanza kuamini kuwa yeye kweli ni mungu mtu, wa kupapatikiwa na kila mtu!

Mtawala mmoja, yeye ni waziri na ushahidi ninao, alikuwa anawasili mjini Dar es Salaam kwa ndege. Sasa dereva wake alikuja kumpokea kiwanja cha ndege. Dareva huyo aliacha shangingi la mkuu, likinguruma ili kiyoyozi ndani ya shangingi hilo kiendelee kufanya kazi!

Gari tupu, hamna mtu ndani, linanguruma kumngoja waziri ambaye ndege aliyokuwa amepanda hata haujatua. Dereva wa gari hiyo alikuwa amesimama pembeni na mwenye sura kama aliyekuwa anamngoja Mwenyezi Mungu mwenyewe afike.

Ni dhahiri kuwa dereva huyo alikuwa anafanya hivyo kwa amri ya mkuu. Waziri huyo anajiita profesa, lakini kwangu mimi ni katuni limbukeni tu. Ni dhahiri kuwa shule yake haikumsaidia sana. Angekuwa analipia mafuta ya gari hilo kutoka mfukoni mwake angethubutu kuamuru libaki bila kuzimwa muda wote?

Kwan nchi masikini kama yetu, kule tu kuwa na mashangingi, ni matusi kwa wananchi. Kuna magari mengi yanayoweza kufanya kazi ya mashangingi. Kwa kukubali ukatuni huyo, serikali inatueleza kwa vitendo, bila kusema, inavyotufikiria sisi wananchi. Unaenda baa na watoto wako hawajala!

Pia kuna uonezi kibao mikoani. Braza Pinda, angepitisha upekuzi wa kimya-kimya huko na kuona jinsi watu wanavyoonewa. Inakuwaje mkuu wa mkoa au wa wilaya awe na utajiri mkubwa ghafla mara tu baada ya kutinga katika kituo chake?

Kwa mfano, katika mkoa fulani wa kusini mwa Jamhuri yetu, watu walistukia ghafla mkuu wa mkoa huo tayari ana maelfu ya ekari, na analima ngano! Wakati wa kuvuna alikuwa akibeba ngano hiyo kutumia magari ya serikali. Sasa hivi ni milionea na hana wasiwasi. Lakini maelfu ya eka za mashamba ya ngano katoa wapi kama siyo kutumia ofisi yake vibaya?

Sasa, kama mkuu wa wilaya na afisa kilimo na kila ka-jiofisa, wote watafanya hivyo hivyo, si ndiyo basi, nchi inakuwa haina viongozi tena, bali watawala? Matatizo yetu Waafrika ni kuwa, tunajaribu sana kukimbia zile tembe za nyasi tulizokulia. Gari moja halitoshi, labda manne, ya nguvu! Nyumba moja ya kawaida haitoshi, mpaka liwe hekalu. Sasa, hiyo si njaa tena, bali uroho!

Kiongozi anatakiwa kuongoza, ili sisi wengine na watoto wetu tuige mfano wao. Wananchi hawawezi kuiga mfano wa watu waroho. Hao siyo viongozi. Hao ni watawala wa kudharauliwa na kuonewa huruma kwani matatizo yao ni ya kisaikolojia!

Wednesday, May 13, 2009

TANZANIA YA KABIDHIWA VIFAA VYA KIJESHI!




Mkuu wa komandi ya Afrika jenerali William kutoka Marekani akisalimiana na kiongozi wa kikosi cha Tanzania wakati wa kikabidhi vifaa vya kijeshi apojana kajili ya kwenda kulinda amani sudan, twawatakia kilalaheri wanjeshi wa Tanznia mrudi salama ,

Saturday, May 9, 2009

DK ALI MOHAMED SHEIN NA MGENI WAKE!

Makamu wa Rais Dk Ali Mohamed Shein, katikati akiwa na Makamu wa Rais wa Iran Parvis Davoodi wakiwa pungia mikono wananchi kwenye viwanja vya karimjee apo jana.


JE? MABOMU YAMEISHA AU LAA!
Wakazi wambagala awajamini kama masalia yote ya mabomu! yameteketweza kutokana bomu la mkono liliolipuka hapo jana jioni , juhudi za kuwasaidia walio pata mkasahuo bado selekali inaendelea kutoa msaada kwa kila mmoja pia kuna makapuni mbalimbali yamejitokeza kutoa msaada pia .

CPWAA PROBLEM VIDEO PIC,


Nipe habari leo imefanya maojiano na msanii cpwaa a.k.a cp hivi sasa cp kazizake zinafanya vizuri dani ya East Afrika na kimataifa kiujumla cp hivi sasa leongo lake nikufanya mziki na wasanii wa kimataifa,



Thursday, May 7, 2009

TAIFA STARS FRIENDLY MATCH DRC ,



Nipe habari leo Maxio aendelea kunoa timu ya Taifa vilivyo kuikabili DRC imeibuka idedea baada ya kutupa panado 2-0 katika Friendly match maxio anasema DRC niwazuri pia kinatakiwa nikucheza mpira wa nguvu zaidi kuweza kuwakabili vijanaao congo,