WORLD CUP 2010 SOUTH AFRICA
Viwanja vitakavyo tumika kwenye world cup south Africa apo mwakani. mdau mmoja kutoka ilala yee natoa habari yake kwamba anashukuru serekali yatu kwa kujenga kiwanja kizuri cha kisasa. pia ijitahidi zaidi kujenga viwaja vingi angalau na sisi tujetuandae michuano mkubwa kama wenzetu Ghana, sifa mojawapo ni kuitatangaza nchi mfano mwingine south inandaa world cup unakuta nchi mbalimbali zinaenda kutembele south, kunamsemo mmoja wa kiswahili unasema kwamba mgeni aje wenyeji afaidi ndio itakavyo kuwa huko south Afrika wafanya biashara wantafanya bishara kweli , Mchango wa mawazo unawezajua kwanini nchi nyingi ugombania kundaa worid cup?
NBAA YAWAKUTANISHA WAHASIBU KWENYE MKUTANO MKUU MWAKA 2024
-
MHASIBU Mkuu wa Serikali, CPA Leonard Mkude, amewataka wahasibu kuzingatia
maelekezo ya Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu Tanzania
(NBAA...
39 minutes ago
No comments:
Post a Comment