Wednesday, July 15, 2009


Introducing Ruka Wear
Ukibahatika kukutwa umevaa T Shirts ya Ruka mjini basi unabahati ya kupata T shirts nyingine bure. Hayo yameongelewa na Mkurugenzi wa Ruka wakati akiongea na Dar411 katika kuwashukuru wateja wake wote waliofanikisha kufika na kunununa nguo za Ruka kwenye banda lao kipindi chote cha maonyesho ya sabasaba. "Huu ni....

Ukibahatika kukutwa umevaa T Shirts ya Ruka mjini basi unabahati ya kupata T shirts nyingine bure.

Hayo yameongelewa na Mkurugenzi wa Ruka wakati akiongea na Dar411 katika kuwashukuru wateja wake wote waliofanikisha kufika na kunununa nguo za Ruka kwenye banda lao kipindi chote cha maonyesho ya sabasaba.

“Huu ni utangulizi tu wa Ruka, lakini siku si nyingi tutafanya mengi zaidi kwa wateja wetu, kuna kofia zinakuja, kuna jeans yote hiyo ni muendelezo wa kuikuza Ruka ili ije kuwa chata kubwa kabisa kama zilivyo Sean John na nyingine” alisema Mkurugenzi huyo.

Ukitaka kupata Pamba za Ruka wakati wowote usisite kupiga simu number 0717 74 95 81 utaletewa mpaka Mlangoni kwako.web www.rukapamba.blogspot.com






No comments:

Post a Comment