Habari zilizotufikia hivi Punde zinasema aliyekuwa mume wa Mbunge wa Viti maalumu Amina Chifupa na mfanyabiashara maarufu nchini, Mohamed Mpakanjia a.k.a Medy amefariki muda mchache uliopita kwenye hospital ya Lugalo Jeshini. Habari zaidi zinasema Mpakanjia alizidiwa jana usiku katika Hosipitali ya Dr Masawe Temeke ambako alikimbizwa kwa kupata uduma ya kwanza mpaka mautiyalipo mkuta Mungu alilaze pema Roho ya Marehemu.
ADEM YATUA GEREZA LA KIGONGONI BAGAMOYO KUTOA MSAADA KWA WAFUNGWA
-
NA VICTOR MASANGU,BAGAMOYO .
Katika kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya sita katika kuisaidia
jamii Wakala wa Maendeleo ya Uongozi wa Elimu-ADE...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment