Sunday, September 13, 2009

BURUDANI YA PEKEE KAMA HAUJAWAI ONA SASA JIONEE LEO
BINADAU KUTEMBEA JUU YA KAMBA,


Haya wadau jioneni wenyewe mchezo huu aujawai kutoke bongo ila kwa jirani zetu kenya ndio mchezo wao mpya. mdau unaweza hisi ni mazingaobwe jama ndio mchezo wake unaompa umarufu jiji Nairobi Kenya.

No comments:

Post a Comment