Tuesday, September 29, 2009


Moses Rubaga a.k.a Mez B usiku wa kuamkia weekend hii alipata kipigo cha hatari na watu wasiojulikana mara baada ya kusababisha ajali nje ya ukumbi wa Club 84 Mjini Dodoma.

1 comment:

  1. pole sana bro kwa mkasa ulio kupata ni mambo ya maisha 2 take care

    ReplyDelete