Wednesday, October 21, 2009




Kagomaz ni kundi la Wasanii wa tatu Medy Pack Fyam Welo Masikani yao ni Nairobi Kenya wanaimba nyimbo zao kupitia lungha hizi (1) English French Italian Spanish Arabic na Stayle wanazo tumia ni Afro fusion Zock Ragga Bongo fleva



2 comments:

  1. hongereni,nimezipenda sana nyimbo zenu.zimetulia kinoma washkaji!!!!!

    ReplyDelete
  2. 2meshukuru sana kuwa na wasanii kama nyinyi huku east africa na inabidi 2wape atention ya kutosha na wa2 waweze kuwavoti kwa kila njia

    ReplyDelete