Saturday, October 24, 2009


Meya kuwatosa matajiri katika Jengo la Machinga
Meya Mstahiki wa Jiji la Dar es Salaam, amebainisha leo asubuhi kuwa kuna udhibiti mkubwa uliofanyika kuwazuia watu wenye uwezo mkubwa kifedha kuchukua nafasi za biashara katika Jengo jipya lililojengwa kwa madhumuni ya kuwaweka wafanyabiashara wadogowadogo (Machinga)

No comments:

Post a Comment