Wednesday, October 7, 2009

MISS TANZANIA OUT PHOTOZ 2009 **********************************************









Hapo juu ni baadhi ya warembo waliowahi kushiriki katika kumsaka mrembo wa Tanzania, akiwemo (Nasreem Mohamed Miss Tanzania 08) kulia, Jaqueline Ntuyabaliwe aka kylin(msanii wa Bongofleva na wengineo wakiwa na shauku ya kutaka kujua ni nani atanyakua taji la miss Tz 09.


















Wasanii wa bongo flava Fid Q akiwa na Matonya wakitumbuiza ndani Mlimani city katika kinyang'anyiro cha kumtafuta Miss Tanzania 2009


1 comment:

  1. hivi ni kwa nini mamiss wetu wengi ambao wakisha maliza muda wao wanakuwa wanaleta inshu sio?wengi wao wanakuwa na skendo mbay akwani hawajui kuwa wao wanaliwakilisha taifa letu katika nyanja mbalimbali.Sijui huyu wa sasa atakuaje au atafuata itikadi za wenzake mimi na wewe hatujui ila yetu macho...

    ReplyDelete