Thursday, November 19, 2009



Hello dear Friend, Its my pleasure to inform all BongoFlava,CPWAA's fans and local muisc supporters that i will have an exclusive pre-launching party on 8th Dec 2009 at Movenpic. Shughuli nzima itaanza na wageni waalikwa (V.I.P) kuanzia saa 2 usiku mpaka 5 usiku na baadae kwa kiingilio cha 15,000 TSH kwa yeyote atayependa kuingia. Usiku huo kutakuwa na uzinduzi wa tovuti zangu 2, mavazi,documentary fupi, nyimbo mpya na video zake bila kusahau Album Preview na perfomance moja ya ukweliiiiii! -- Na baada ya hapo, ngoma zote za ukweli zitapigwa na maDJ wakali kutoka jijini Dar, na shangwe hilo litaendelea mpaka kuchwele. looking forward to see you there. Support local talents, support our music! na tutafika tu. On the photos: 1. Cpwaa with his trademark maasai msuli. 2. Cpwaa and Splif star of Flipmode squad having a good conversation at the Busta Rhymes after party, Level 8 Kempinski hotel. ***************************************



FIESTA ONE LOVE NA SEREGETII 2009
***************************************















MAMBO YALIO JIRI KWENYE FIESTA 2009 NA SEREGETII SERENGETI EEEEHHH! jionee mwenyewe mdau serengeti bia ilivyo wagaragaza hawa raia baada ya serengeti kutoa punguzo la bei ya bia, kila bia ilikuwa inauzwa elfu moja tu ndio imefanya maafa hayaaaa,
***********************************************


NGOMBE KUSAFIRISHWA KWA PIKIPIKI ULISHAWAI KUONA HII MDAU?


Haya wadau ngombe kauzwa kwa mkopa atimae mwenye ngombe akaona alipwi kilichofuata kwa mwenye ngombe ni kama unavyoona mdau. jinsi gani mwenye ngombe alivyo jasili kwenye maliyake haya wafugaji Tanzania hii ni kwajiliyenu?

No comments:

Post a Comment