- HAYA WADAU HUYU NDIE NABII TITO AMBAE ANASEMAA YA KWAMBA POMBE DAWA. IMEMPONYA GONJWA SUGU EMBU MSIKILIZE NABII TITO MDAU KARIBU SANA,
- Wadau blashaka kila mtu alikula sikukuu ya pasaka vizuri hasa wadau tukirudi nyuma kidogo kwenye soka chelsea ilibuka na ushindi wa mabao mawili thidi ya Man utd mchezo ambao ulikua mgumu sana kwa kila timu.
- AMANI JUST ARRIVED IN THE UK READY FOR 2MORO'S SHOW @ CLUB AMBASSADOR LONDON,BARKING 1G11 8AJ.PEOPLE GET READY WE GON PARTY HAAAAAAARD!!!!
ALL NATIONS EASTER SUDAY 4TH APRIL 2010- WORLD CUP HATA KWA BASI TUTAENDA TU AU SIO WA TANZANIA
Haya wadau kombe la dunia hiloo bado kama mwezi mmoja unavyo ona kweye picha. ni moja ya Basi kutoka kwa majirani zetu wa kenya likiwa limepambwa kwa ajili ya world cup litakalo kuwa likikata bunga kutoka Nairobi hadi hadi south Africa . haya wenye mabasi bongo habari ndio hiyo,THIS FRIDAY2ndAPRIL AMANI PERFOMING LIVE IN CLUB AMBASSADOR BARKING IG11 8AJ DONTMISSOUTPLS PASS M
BONGODEEJAYS proudly Presents 2009 MTV MAMA AFRICA BEST FEMALE AWARD WINNER WE BACK THIS TIME EVEN BIGGER....EASTER BANK HOLIDAY. Last time we brought ALI KIBA ... and he absolutely smashed the night.For some of you that remember...it was a memorable event and a Big Success..So now we goin Hard..OH YEH..!.. AMANI MTV MAM...A AFRICA BEST FEMALE AWARD WINNER...performing live from her best tracks and classics like.... TONITE ' BADBOY ' MISSING MY BABY ' TAMANI and many more So make sure your there and tel a friend to tel a friend.. APRIL ... EASTER BANK HOLIDAY.... NO WORK ' NO UNI.......... PAY DAY.......................SO NO EXCUSES' WATSOEVA! Aswel will have after show party on the night with our Resident Dj's playing best in Bong Flava - Genge - R n B - Hip Hop and many more. Entrance £15 all venue all night VENUE : Fri 2nd april club ambassadorig11 8ag barking london Sat3rd april manchester the methodist central hall m1 1jq 4th eastar sunday face club reading rg1 7je sat10th april bristol trinity centre bs2 0nw iNFO - HOTLINE NUMBER 07853482158 DONT MISSOUT!!!!- KLEX DANCEHAII MUSIC IN TANZANIA VIDEO OUT,
Msanii klex ambae anaimba miondoko ya Dancehall flava hivi sasa anatamba kwa wimbo wake wa Ukinikuta kwenye Tv kama channel o pamoja na channel za hapa bongo hivi sasa klex yupo mbioni kuachia video mpya katika ya mwezi wa nne wadau wote wa Dancehall flava tupo pamoja sana . - Wadau blashaka kila mtu alikula sikukuu ya pasaka vizuri hasa wadau tukirudi nyuma kidogo kwenye soka chelsea ilibuka na ushindi wa mabao mawili thidi ya Man utd mchezo ambao ulikua mgumu sana kwa kila timu.
Former Strictly star Giovanni wins Italian dance show
-
Giovanni Pernice wins Ballando Con Le Stelle after the BBC partly upheld
complaints by Amanda Abbington.
39 minutes ago
No comments:
Post a Comment