CHELSEA OYEEEE ONGERENI SANA WAPENZI WOTE WA CHELSEA TANZANIA KWA KUPATA USHINDI WA KISHIDO NA KOMBE JUUU
Jua Cali alipotembelea NYUMBANI WATOTO WA MUNGU MAY 1ST 2010
" I was really touched to spend time with this kids most of them wako HIV+ ni noma watu wangu lazima mushukuru Mungu for Healthy life."
nimeyapata baada ya kuwasiliana nae kwa njia ya facebook.
Kuna kikubwa cha kujifunza kwa wasanii wetu ya hapa nchini na afrika mashariki kwa ujumla,kuwakumbuka watu wenye mahitaji kama hawa mana sio pesa pekee ambayo itawafanya wawe na maisha mazuri hata ukiwapa furaha wanajiona wako duniani kama wengineAngalia jinsi wanavyooneka kuwa na furaha kwenye nyuso zao
Hakuwa mwenyewe wa kutumbuiza hata wao walikuwa mstari wa mbele ,kama mnavyoona waugwana.
Jua kali akipata picha ya pamoja na wenyeji wake wakiwa kwenye furaha.
No comments:
Post a Comment