MAMBO MAZURI KUTOKA KWA NICK MAUJANJA YAJA.
Hivi karibuni nimewasiliana na brother nick ili kujua mipango yake ya hivi karibuni katika tasnia ya muziki wa hapa nchini na haya ndio maneno."Brother nakaribia ku release video ya imekula kwako, so kaaeni mkao wa kula ama kuliwa."
No comments:
Post a Comment