Friday, May 28, 2010

UNAFIKIRIA NINI?

Mie nadhani huyu kuku kama angekua anaongea basi anamengi ya kusimulia mana amepigana vita nyingi kianzia kwa kuku wenzaka mpaka kukoswa koswa kuchinja na bado anadunda.


No comments:

Post a Comment