MADIBA KUHUDHURIA UZINDUZI KOMBE LA DUNIA
Miezi iliyopita kulikuwa na habari ya kwamba kuna uwezekano wa mheshimiwa Nelson Mandela kutoweza kuhudhuria uzinduzi wa kombe la dunia.Kwa habari za sasa nilizozipata kutoka kwenye vyanzo vyetu vya habari ni kwamba madiba atahudhuria siku ya uzinduzi na fainali ya kombe la dunia.
Picha hapo juu ni kumbukumbu ya 1995 ambapo south Africa iliposhiriki kombe la dunia la Rugby ambalo lilifanyika katika ardhi yao,South Africa walitoka kidedea kwa kuwa washindi.Swali ni je wataweza kubakisha kombe la dunia la mpira wa miguu?
No comments:
Post a Comment