MWANASIASA INDIA ASHUSHIWA KIPONDO
Mwanasiasa wa india leo amepigika vibaya baada ya vurumai iliyoambatana na hasira kali kutokea katika moja ya kikao. Sambhajirao Kunjir alipigwa ngumi,mateke na kwa viti kichwa na kupelekea kuanguka chini na wanasiasa wenzake ambao walikuwa wanabishana kuhusu hoja ambayo walikuwa wanajadili.
Tukio hilo lilitokea wakati wajumbe wa mkutano huo walipokutana kumchagua raisi mpya wa Pune district Congress committee.Ripoti inaonyesha kuwa majumbe wenzake walimshambulia kwa kumpiga mpaka kumjeruhi baada ya kuto kukubaliana na mawazo yake.
No comments:
Post a Comment