Monday, July 19, 2010

Picha za ajari ya treni india leo asubuhi
Wananchi wkishuhudia uokoaji wa watu walioumia

Wasamaria wema  wakijitahidi kuokoa wajeruhi.Hapa ndipo unaweza kuona kazi ya uokoaji ilivyokuwa ngumu


Mmoja wa majeruhi katika ajari akiwa amebebwa na baba yako.




msamaria mwema ambaye hakujulikana jina lake akimsaidia mhanga wa ajari kuwasiliana na nduguze

Ramani ikionyesha sehemu ambapo ajari imetokea

No comments:

Post a Comment