SHUKURANI KUTOKA KWA AT
Nawashukuru wote walionipa ushirikiano wao katika usiku wamama ntilie Zanzibar nasi Uswazi tunasema tuponao Bega kwa Bega kifuatacho ni Amani na upendo kwa wote.!
TPDC YAWEKEZA TZS BILIONI 8.4 KWENYE VITUO VYA MAFUTA YA GESI ASILIA (CNG)
VINAVYOHAMISHIKA
-
SHIRIKA la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) limewekeza shilingi bilioni
8.4 katika uanzishaji wa vituo sita vya kujaza gesi asilia iliyoshindiliwa
(C...
9 minutes ago
No comments:
Post a Comment