Saturday, July 24, 2010

SIMU na BARABARA..!



Ajali nyingi zinatokea, wakati mwingine si dereva tu anayesababisha, bali wavuka barabara pia. Angalia, Mtu anavuka barabara akiwa anaongea na simu au akisoma na kuandika ujumbe mfupi kwenye simu, hakumbuki kuwa kuwa yuko kwenye njia ya magari, isitoshe sehemu yenyewe haina mistari ya pundamilia inayomruhusu kuvuka. Kuwa mwangalifu barabarani
by artsfede.blogspot.com

No comments:

Post a Comment