Monday, July 19, 2010

Watu zaidi ya 60 wamefariki kutokana na  ajari ya treni


Ajari imetokea mashariki mwa india ambapo treni iliyokuwa na abiria imeigonga treni iliyokuwa imesimama mji mdogo wa sainthia(West bengai state)mapema asubuhi hii.Habari zaidi ni kwamba watu 120 wameumia na wangine wapo katika hali mbaya sana.Sababu za ajali bado hazijajulikana mpaka sasa.


Watu wa zima moto na huduma ya kwanza imebidi kutumia moto wa gesi na vifaa vingine vya moto ilikuwaokoa abiria walionasa ndani ya treni.

No comments:

Post a Comment