UZINDUZI WA FEZA ALUMNI
Ilikuwa ni furaha sana mana tuliweza kuonana tena baada ya kupotezana kwa miaka 6 mpaka 7.Hapa ni Omar kimbisa,mohammed mbaruk na shadrach mkole wakibadilisha mawazo kabla ya shughuli yenyewe haijaanza rasmi
Nikiwa na Tomson sanga one of my all time best friend!
Yani huna haja ya kusimuliwa furaha ya nyuso zao zinakuonyesha jinsi ilivyokuwa ni furaha kukutana tena.Hawa jamaa ndio wanafunzi wa kwanza kabisa wa Feza kwa maana nyingine ndio walionikanibisha Feza mwaka 2000 nilipoanza form 1
Ikafika wakati wa kufanya Feza alumni kuwa serious.Ikabidi kujaza form na kuwa mwanachama rasmi ingawa kila aliesoma feza ni mwanachama
Hapa ndio unapiga picha na kupata kitambulisho
Baada ya wengi kupata vitambulisho vyao,ikafika wakati wangu nikaingia kwenye chumba cha daktari kupata picha.
Hapa ndio penye!Ikaanza kwa kupata soup si unajua tena!
Baada ya hapa ikawa ni self service
yamii yamii yamiiiiiiiiiiiiiiii
cheka unenepe mana sababu ya kufanya hivyo unayo.wajua nini? si ameshakula mana huyu jamaa kucheka kwa msimu
Napenda kumtambulisha black virus nyuma ya karatari
huyu hapa
Tomson akiwa anafuatilia jambo kwa umakini mkubwa
Mr.Ibrahim Bicacki akiongea na wana alumni,Amekuwa head master wa Feza boys' kwa miaka 11.
Mgeni rasmi akiwa anafuatilia baadhi ya matukio yaliyokuwa yanaendelea
Mgeni rasmi akiwa katika harakati ya kufungua Feza alumni rasmi.Kulia kwake ni chairperson wa alumni mr.Ibrahim yunis ambae ni mmoja wa wanafunzi wa kwanza kumaliza feza,pia ni mwalimu wa feza boys kwa sasa.
Sasa imeshafunguliwa rasmi,mgeni rasmi akiashiria hivyo kwa kuonyesha certificate of registration
Mr.James manyama mmoja wa wanafunzi wa kwanza kumaliza akiongea na wana alumni
Athumani madati akiwakilisha wanafunzi wa awamu ya nne kumaliza o level.
ukafika wakati wa kupata picha za kumbukumbu ambapo itifaki ilizingatiwa ambapo walianza waliomaliza O level 2001
O level 2002
O level 2003.Hapa mbona nipo sio ndio wale wakubwa wa feza bana!
O level 2004
O level 2005
Lamar nae alikuwapo,Kama ulikuwa hujui chukua hii nae ni product ya Feza.
Ukafika wakati wa kuuza sura.Hapo ni Amrany mlawa na james
Hapa nilikuwa na Abrah the producer na Lamar
Mie na marafiki zangu tuliomaliza shule mwaka mmoja kutoka kushoto ni Mohammedi mbaruk,mie,kelvin majiba na mwinyiusi
Wajua tena wanapokutana wanafunzi au marafiki mambo fulani hayabadiliki kama hivi
Nikiripoti kutoka ukumbi wa Estana,victoria jijini Dar ambao hii hafla ya uzinduzi wa Feza alumni amefanyika mimi ni Mkongo wa nipehabari.(Just kidin' guys)