Ili kuwapigia kura wanamuziki Shaa,Witness na Gelly ingia http://mva.channelo.tv/nominations
Na utakutana na ukurasa huu.
Kumpigia shaa ingia"Most gifted east video" alafu utaukuta ukura huu,nenda kwenye picha ya Shaa sehemu ya Vote ukibonyeza hapo utakuwa umeshampigia kura.
Kumpigia kura Witness ingia "Most gifted female video" alafu utaukuta ukura huu,nenda kwenye picha ya witness sehemu ya Vote ukibonyeza hapo utakuwa umeshampigia kura.
Ukitaka kumpigia Gelly wa rythm ingia "Most gitfed RnB" alafu utaukuta ukura huu,nenda kwenye picha ya Gelly sehemu ya Vote ukibonyeza hapo utakuwa umeshampigia kura.
No comments:
Post a Comment