Sunday, August 1, 2010

KISWAHILI MBUGANI
Wadu nimewawekea kipande cha movie ya THE A TEAM muone jinsi Kiswahili kinavyozidi kukata mbuga kwenye nchi za wenzetu.Pia kwa Yule ambaye anapenda kuangalia movie aitafute hii mana ni nzuri sana na ina action za kutosha tu.

No comments:

Post a Comment