MAZOEZI YA STARS KATIKA PICHA LEO ASUBUHI
Mazoezini leo asubuhi nimewaona wachezaji kama athumani chuji ambaye alikuwa anasumbuliwa na malaria na kwa sasa anaendelea vizuri,pia alikuwapo nizar khalfan ambaye amewasili kutoka canada ambapo ndio anacheza soka la kulipwa.
Makipa wa taifa stars wakifanya mazoezi kwa pamoja.Katika makipa ambao nimewaona leo kaseja alikosekana sasa sijajua ndio wamemtoa kikosini kwa sababu ya majeruhi au la?
No comments:
Post a Comment