Sunday, August 22, 2010

Pipi anashoot video mpya
Mupa mfupi uliopita nimepata habari hii kupitia facebook na haya ndio maneno yake Pipi Doreen
"Am shooting my video today. . .just done with Location one{forodhani}. .and now heading 2 location number two. . .i wish all you guys could participate. . .xoxo"
kaa mkao wa kufuturu video mpya hiyo njiani yaja.

No comments:

Post a Comment