SWAGGA ZA MTAANI
Katika pitapita yangu mitaa ya karume nimekutana na swagga hizi zilizoandikwa kwenye ukuta wa RTC
Wadau nitumieni picha za kuta mbalimbali ambazo zinamaandishi ambayo watu wameandika maoni yao ili wadu wenzenu wazione.
Tuma picha kupitia nipehabari@gmail.com
No comments:
Post a Comment