WOMAD 2010
Aliyenyoosha mikono ni Mim suleimani mtanzania mwenzetu ambaye anaishi nje na shughuli zake za muziki anazifanyia huko pia na hapa mjini.Wale tulio hudhuria sauti za busara mwaka huu mtamkumbuka na nyimbo zake kama wale nk. Hapa alikuwa kwenye WOMAD 2010.
No comments:
Post a Comment