Tuesday, September 28, 2010

ARUMERU CHADEMA YA ENDELEA KUWASHA MOTOWAKE WA UKWELI BILA KUFICHA,

"Mikutano ya kampeni  ya Mgombea Ubunge Arumeru Mashariki kupitia CHADEMA Bw Nassari Joshua "
Jina Kamili: Nassari Joshua Samwel, 
Jimbo: Arumeru Mashariki
Chama: CHADEMA

Joshua; ni msomi wa Sosholojia toka Chuo Kikuu cha Dar-es-Salaam. Amekuwa mstari wa mbele kutetea haki na maslahi ya vijana kwa muda mrefu. Alipokuwa chuoni alikuwa Spika wa serikali ya wanafunzi na kusimamia maslahi ya wanafunzi hususan wanaotoka katika familia zenye hali duni.

No comments:

Post a Comment