MANDALIZI YA KITOWEO
Wadau wakiendelea kuandaa mboga katika machinjio ya nyoka huko china lakini sio nyoka pekee,kwa mbali hapo naona kuna jamaa amemkanyagia kenge akichuna. Inasemekana biashara ya ngozi ya nyoka ni nzuri na ina faida ya kutosha duniani.
KAMONGA ACHUKUA FOMU TUME
-
Baada ya uteuzi wa wagombe ubunge wa uliofanyika siku ya Jana na
halmashauri kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM)Taifa, Mbunge wa Jimbo la
Ludewa Adv. Joseph Z...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment