Monday, September 20, 2010

Mnyika azindua Kampeni za Diwani wake Sinza jana

Mgombea Ubunge Jimbo la Ubungo bwana John Mnyika za Mkutano wa Kuzindua kampeni za Diwani wa CHADEMA Sinza Bwana PAMBA Renatus uliofanyika katika viwanja vya
 Seven Up ,Sinza Palestina jumapili.
Mnyika akimnadi na Mgombea Udiwani Kata ya Sinza kupitia CHADEMA Bwana Pamba Renatus Jukwaani jana katika mkutano huo .

Nyomi la wajanja wa Sinza wanaliofika mkutanoni ,wakisikiliza Sera Makini za Mnyika.

John Mnyika na Diwani wake wa Kata ya Sinza Pamba Renatus wakiomba Kura kwa wananchi wa Sinza Palestina jana

Mabere Marando naye alikuwepo kumnadi Mnyika na kuwasilisha ujumbe toka kwa Mgombea Uraisi kupitia CHADEMA Dr Slaa

 

No comments:

Post a Comment