Wednesday, September 22, 2010

WADAU JIKO LA MZIKI WA DANCEHALL TOKA KWA KLEX LIMEIVISHA NGOMA MPYA KAENI TAYARI,
Haya wadau na wapenzi wa mziki wa Dancehall hapa bongo msanii klex ambae anatamba na ngoma yake ya Ringa anawabarisha mashabiki wake wote wa dancehall wakae tayari kwa kusikia song jipya pamoja na video mpya hivikaribuni .

No comments:

Post a Comment