Mnyika akiwahutubia wana wa Makuburi na kuwaasa wahakikishe wanachagua madiwani, mbunge-John MNYIKA na mgombea Urais toka CHADEMA.
Mzee Mabere Marando aliweza kuungana mnyika kuwaelimisha wana wa Makuburi kuwa na uthubutu wa kufanya maamuzi ya kukichagua CHADEMA ili kuleta maendeleo kwa Tanzania
Wananchi wakifatilia mkutano wa Makuburi
Nawashukuru sana wananchi ambao waliamua kuchangia mchakato wa kuelekea ushindi kwa kutoa chochote walichonacho katika mkutano wa Makuburi.

No comments:
Post a Comment