Friday, October 15, 2010

CHADEMA waweka wazi ilani yao
Zijue kwa kina Sera za CHADEMA na Ilani ya Uchaguzi Mkuu 2010 ,kama zilivyofafanuliwa na Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA Ndugu John John Mnyika katika mahojiano na ITV(Kipindi cha Uchaguzi Mkuu 2010).Kuangalia na kusikiliza mahojiano haya fuata link hapo chini.

Link:
Sehemu ya Kwanza
http://www.youtube.com/watch?v=7sn5BMNbRbw

Sehemu ya Pili
http://www.youtube.com/watch?v=S-9aEJ-reHY

No comments:

Post a Comment