Hivi hizi application form huwa wanazipitia kuhakikisha hazina makosa au wanabadilisha academic year alafu basi.Kilichonifanya kupost hii habari ni kichefuchefu cha hapo chini hebu soma kwa makini siku ya urudishwa wa form hii.
Fomu ya mwaka wa masoma 2010/2011 wanafunzi wanatakiwa kuingia chuo mwezi ujao na fomu zimeanza kutolewa baada ya TCU kutoa majibu ya wanafunzi waliochaguliwa vyuoni,lakini fomu zinatakiwa kurudishwa kabla ya 30/4/2010.
Wadau naomba mnifahamishe kama nitakuwa nimekosea




No comments:
Post a Comment