Thursday, October 7, 2010

Kamanda akiwa mstari wa mbele kuhakikisha Ushindi
Engine Eric ONGARA, moja ya kiungo muhimu na adhimu kuelekea ushindi akishika jukwaa na kuwahimiza wananchi kuchagua CHADEMA, kuhakikisha katika jimbo la ubungo-madiwani wote wa kata 14 watoke CHADEMA, MNYIKA awe mbunge wa Ubungo na Rais awe Dk. Slaa

No comments:

Post a Comment