Kila la kheri Mjukuu wangu ukatuwakilishe bungeni
Mnyika "Nashukuru sana kwa moyo na ujasiri wa Bibi huyu ambaye hakusita kuniambia maneno ya kunitia shime na kunibariki katika harakati zangu za kuomba ridhaa kuwakilisha wananchi Bungeni.
Ni faraja sana kuungwa mkono na kila kundi hususan wazee kwani ni kisima cha busara na baraka."

No comments:
Post a Comment