KONGAMANO LA WANAVYUO MAMBALIMBALI HAPA JIJI DAR LA WASHA MOTO,
Vijana wapatao 200 walihudhuria na kutoa tamko la kumuunga mkono Mnyika katika harakati zake za kampeni jimbo la Ubungo.
Dkt.Kitila Mkumbo, naye alishiriki na kuichambua kwa kina sera za chama cha CHADEMA. Miongoni mwa mengi ya msingi aliwaasa vijana kuwa wao ni chachu ya mabadiliko, lazima washiriki bega kwa bega kuhakikisha kuwa wanachagua mbunge atakaye kuwa mstari wa mbele kwa sauti yao-kuhakikisha anatetea maslahi ya wanavyuo na vijana wa Tanzania kwa ujumla.

No comments:
Post a Comment