Mjue producer wa video ya ahmada
Abra tha producer ni CEO na video producer wa GHS company ambayo makao yake makuu ni Kinondoni biafra hapa Dar es salaam.Pia ni editor,director na camera operator.Ameshafanya kazi nyingi nzuri na wasanii tofauti wa bara na visiwani,kazi moja wapo aliyoifanya ambayo leo nimeona niwatambulishe kwenu ni ahmada.Hakuna ubishi kwa aliyeiona hii video atakubali kuwa huyu brother ni mkali katika anga za wakali.
Abra the producer akiwa location wakati wa kutengeneza video ya ahmada.Huyu jamaa kwa shots zenye akili anatisha.Wewe mwenyewe shahidi unaona jinsi alivyombunifu katika uchukuaji wa video
Hapa akishow love na clients wake baada ya kufanya kazi nzuri.
kuwasiliana na Abra the producer kibiashara zaidi
Mobile number: 255713260172
No comments:
Post a Comment