Saturday, October 2, 2010

Mkutano wa Kampeni Singida Mjini: JK apokelewa kwa mbwembwe!
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia umati mkubwa wa watu kwenye mkutano wa Kampeni Singida Mjini Leo tarehe 2.10.2010

Mgombea Urais wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete akimnadi Mgombea Ubunge wa Jimbo la Singida Mjini Mohamed Dewji

Umati wa watu uliojitokeza kumsikiliza mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alipohutubia mkutano wa kampeni kwenye uwanja wa michezo wa Namfua Mjini Singida leo tarehe 2.10.2010

 Mgombea Ubunge kupitia Chama Cha Mapinduzi Jimbo la Singida Mjini Mohamed Dewji akielezea mafanikio ya utekelezaji wa Ilani ya CCM kwenye Jimbo la Singida Mjini kabla ya hotuba ya Mgombea Urais wa Chama hicho Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete tartehe 2.10.2010

No comments:

Post a Comment