Wednesday, October 27, 2010

Mkuto wa Kampeni Nkome:JK apokelewa kwa Kishindo
Mheshimiwa Jakaya Kikwete akiwasalimia wananchi wa Bugando alipowasili kwenye mkutano wa kampeni Nkome Wilayani Geita

Maelfu ya wananchi wa Nkome wakimshangilia mgombea urais Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete alipokuwa anahutubia mkutano mkubwa wa kampeni Nkome.

Mheshimiwa Kikwete akisalimiana na maelfu ya wananchi waliojitokeza kwenye mapokezi Nkome.

Kabla ya nkome Mheshimiwa Kikwete pia alisimama vijiji vya Kasota na Nzera wilayani Geita ambapo pia alifanya mikutano ya kampeni na kunadi sera za CCM na kuwaombea kura wagombea udiwani na mgombea ubunge wa jimbo hilo.

No comments:

Post a Comment