Saturday, October 2, 2010

TSAH freshers party /Bonanza October 1, 2010

Vijana  kwenye basi wakielekea eneo la tukio 

Wameshafika sehemu ambayo ilikuwa rasmi kwa ajiri ya party


Baada ya kubadilishana mawazo na michezo ya hapa na pale, ukafika wakati wa line up ili vijiko vigombane na mdomo


Kama kawaida yetu watanzania  hata kama kila mtu na sahani yake lazima tukae pamoja na kubadilishana mambo mawili matatu huku tukufurahi.Bwana nkya mwenye shati ya damu ya mzee ni mwenyekiti wa sasa wa umoja wa wanafunzi wa chuo Hyderabad india.Nadhani anaomba kuchaguliwa tena hapo mana kwa siasa hajambo teh teh!
Loh!Ukafika wakati wa fashion show,ilikuwa balaa mana watanzania wenzangu walionyesha ufundi wao katika hili








Kwa picha zaidi ya yale yaliojiri tembelea link hii
Picha kwa msaada wa Abdillah nkya (mwenyekiti)

No comments:

Post a Comment