Thursday, October 7, 2010

Waziri mkuu azindua mradi wa matrekta
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda na  Kulia ni Balozi wa India nchini,V. Bhagirathi.wakata wa uzinduzi wa matrekta ya kilimo kwanza aina ya FARMTRUCK kutoka India unaosimamiwa na SUMA JKT, kwenye eneo la Kambi ya Jeshi ya Lugalo jijini Dar es salaam Oktoba 7, 2010.  (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment