Hii ni kwa wapenzi wa WWE
Kwa wale wapenzi wa WWE sasa blog yenu imeamua kukata kiu yako kwa kukuletea mambo ya wrestling yanavyoendelea duniani hasa kwa Smackdown na RAW.Kwa leo nimeanza na hii clip ya Randy Orton ambaye ndie WWE champion kwa sasa hivi.Jumapili hii atakuwa na mechi kati yake na kiongozi wa kundi la NEXUS na John cena ndio atakuwa special referee.Pia john cena ameambiwa achague kati ya kumsaidia kiongozi wa nexus kushinda dhidi ya
Randy orton au atafukuzwa kazi.
Uchguzi wako
Kwa ambaye ni mpenzi wa mieleka,naomba mawazo na ushauri wako wa mechi zipi au habari gani za wanamieleka unataka niwe nakuletea kila mechi inavyochezwa
No comments:
Post a Comment