Monday, November 15, 2010

Hivi unafikiri hapa drogba alikuwa nafikiria nini?
Hii ni jana baada ya kipigo cha 3 0 dhidi ya sunderland.
Drogba "hivi kweli ndio tumepigwa na sunderland dah kweli leo mafuriko darajani "

No comments:

Post a Comment