Kilimanjaro stars wameshaingia kambini leo kwa ajiri ya kujiandaa na michuano ya challenge ambayo yanatarajiwa kuanza hivi karibuni
mwaikimba katika mozoezi ya timu ya kilimanjaro stars leo.
kaseja akiwa anafanya mazoezi na makipa wenzake wakiongozwa na kocha juma pondamali
Kado mazoezi na makipa wenzake
No comments:
Post a Comment