Monday, November 22, 2010

MDAU HAPA NI ENEO LA LILIPO TAWI LA BANK YA ABC KAMAUNAVYO ONA PAKIWA PAMEJAA MAJI MACHAFU SIIJUI WATEJA WANAPATA HUDUMA VIP HAPA ?


Wausika wa barabara wanaichi wanashindwa hata kupita kwajili ya haya maji machafu pia barabara inaharibika kwa kuchimbika mashimo tunaomba msaada huu wa kiafya zaidi, 





Hatari wengine viatu vimetoboka chini ?

No comments:

Post a Comment