Tuesday, November 23, 2010

Taarifa Kwa Vyombo Vya Habari
Kutangazwa Kwa Baraza La Mawaziri:
Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, atatangaza Baraza la Mawaziri kesho,Jumatano,Novemba 24,2010.Rais kikwete atatangaza Baraza la Mawaziri hilo jipya kufuatia Uchaguzi Mkuu uliofanyika nchini Oktoba 31,mwaka huu,2010.
(Imetolewa na:Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,Ikulu,DAR ES SALAAM.23 Novemba,2010)

No comments:

Post a Comment