TUSIKILIZE DIAMOND KWA UMAKINI NA TUYAFANYIE KAZI
Haikua rahisi kuweza kufanikisha kushinda tunzo tatu.. lakini kwakua
kwa moyo mmoja mliweza kushirikiana na mimi bega kwa bega na
kunipigia kura msanii wenu kipenzi ikawa ni rahisi kushinda TUNZO 3
na nikawa mwanamuziki wa kwanza wa bongo flavour kuandika
historia kwa kuvunja records ya kuchukua tunzo tatu...hivyo basi
kama tuliweza kuchukua TATU ni rahisi sana kuchukua MOJA na
kuleta heshima nchini kwetu... tafadhari naomba mnipigie kura kupitia
Ahsanteni!
No comments:
Post a Comment