Monday, December 13, 2010

Mazishi ya Doctor Remmy
Msiba wa Dr Remmy Ongara uko nyumbani kwake Sinza kwa Remmy. Mazishi yake yamepangwa kuwa Alhamisi 16 December 2010, mida ya mchana. Kabla ya hapo mwili utaagwa Muhimbili asubuhi kisha kupelekwa nyumbani kwake Sinza ambako kutakuweko na Ibada ya mwisho kabla ya kumuaga tena na kuelekea katika makao yake ya mwisho Sinza makaburini.



Kwa wale ambao wangependa kutoa rambirambi wawasiliane na Mzee Makassy kwa simu namba +255655392050 au +255767392050.

No comments:

Post a Comment