Tuesday, December 7, 2010

MobileMonday ilifana
PAUL BRAGIEL mwanzilishi wa kampuni iitwayo I/O ventures akijibu maswali baada ya kutoa mada na kujieleza matatizo na mafanikio aliyoyapata wakati wa kuanzisha kampuni yake.

Injiana wa kwanza wa PayPal (Russell Simmons) akitoa mada kwenye mkutano ambao unawaweka karibu wataalamu wa compyuta na technolojia kwa ujumla ili kutatua matatizo na kujifunza kutoka kwa wataalamu wengine kutoka nje ya Tanzania.Mkutano huo uliandaliwa na MobileMonday.

Baadhi ya wanateknolojia waliofika kubadilishana mawazo wakati wa mkutano huu uliofanyika wizara ya sayansi na teknolojia hapo jana.Mmoja wa washiriki akitoa maoni yake na kuuliza swali kwa watoa maada.


No comments:

Post a Comment